Nature
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini akiwemo Baruani Muhuza, Kirumbe Shabani, Ahmad Sovu, Clayton Revocatus Chiponda (Baba Levo), Maulid Kikondo na Moses Basila. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

BABA Levo na Wengine Wanne Wateuliwa Kugombea Ubunge Kigoma Mjini

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini akiwemo Baruani Muhuza, Kirumbe Shabani, Ahmad Sovu, Clayton Revocatus Chiponda (Baba Levo), Maulid Kikondo na Moses Basila.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

Related Posts