BREAKING NEWS
Kocha wa KMC Marcio Maximo yupo kwenye wakati mgumu ndani ya klabu hiyo, na kwa taarifa tulizonazo, inawezekana kabisa muda wowote akafutwa kazi 😬⚽
Viongozi wa KMC hawajaridhishwa na mwenendo wa timu, ikiwemo msururu wa matokeo mabaya katika michezo ya hivi karibuni ambayo imeiacha klabu katika nafasi ya chini kwenye msimamo wa ligi 🏆

