Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Hofu Yamwingia Ahmedy Ally Mchezo wa Simba na Petro Atletico
HABARI ZA MICHEZO

Hofu Yamwingia Ahmedy Ally Mchezo wa Simba na Petro Atletico

November 21, 2025November 21, 2025 ajirayako

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally akiwa kwenye hamasa za timu ya Simba maeneo ya Pugu Kinyamwezi amewataka mashabiki wakaisapoti klabu yao ya Simba itakapocheza dhidi ya Petro Atletico siku ya Jumapili tarehe 23/11/2025 ili kuwaongezea nguvu wachezaji.

Ahmed amesema kula klabu ya Petro Atletico kutoka Angola ni wapinzani wagumu sana kwa Simba nguvu ya mashabiki inahitajika sana kuongeza morali kwa wachezaji.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Joshua Aibuka Shujaa, Amwangusha Prenga Baada ya Kuanza Vibaya

July 26, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Sakata la Simba na Wydad Kuhusu Mchezaji Seleman Mwalimu Bado Kizungumkuti

July 26, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Game za UEFA zilivyomtajirisha kupitia betting
Next: Hawa Hapa Wachezaji 6 wa FAR Rabat Ambao Yanga Inafaa Kuwachunga Kwa Umakini

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa

  • Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

  • Balaa! Harusi ya Monalisa katoro ni zaidi ya Sendoff, Pesa zamwagwa, Magari, Pol Brand aonyesha

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.