Mara baada ya Msemaji wa @simbasctanzania @ahmedally_ kuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anataka pambano la ngumi na nyuma mwiko
Msemaji wa @yangasc #alikamwe amemjibu Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram kwa kuandika ⬇️⬇️
huyo Mgawa utamu kabla hajaomba pambano la Masumbwi huku aangalie kwanza Hiyo Logo hapo .. Sitaki Lawama Baadae..
Semaji ataweza pambano???
