Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Yanga Wamfuata Azam Fainali Kombe la Mapinduzi
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Wamfuata Azam Fainali Kombe la Mapinduzi

January 10, 2026January 10, 2026 ajirayako

Wananchi, Young Africans Sc wametinga fainali ya kombe la NMB Mapinduzi 2026 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars kwenye nusu fainali katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

Yanga Sc watachuana na Azam Fc waliotinga hatua hiyo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba Sc kwenye nusu fainali nyingine iliyopigwa jana.

FT: Singida Black Stars 0-1 Yanga Sc
⚽ 54’ Maxi
🟥 Damaro
🟥 Chukwu

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

TRA United Yaichapa Azam FC 4-1 Sheikh Amri Abeid, Arusha

May 9, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO HABARI ZA UDAKU

Mtangazaji George Job Atangaza Kuachana na Wasafi FM, Aandika Haya

May 9, 2026May 9, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Alichokisema Ali Kamwe Baada ya Simba Kufungwa na Azam
Next: Clemence Mwandambo Afikishwa Mahakamani, Aachiwa Kwa Dhamana

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Exclusive — Kijana Muokota Makopo akutana na Uongozi wa Chuo (UDSM), aanza hatua za awali kurudi chuo

  • Exclusive — Waziri wa Elimu Apiga Simu Kuzungumza na Kijana Muokota MAKOPO, Amuahidi Haya Makubwa!

  • Marais wa Nchi za Afrika Waliokula Bata na Kutumia Pesa za Serikali Kuliko Marais Wote Afrika

  • Star Boy Allan Okello Ang’ara Akiipa Yanga Pointi 3 Muhimu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.