Simba na YangaSimba na Yanga

ACHANA na Kelele za Yanga Kuwa Hawachezi, Ila SIMBA Ana Kibarua cha Kufuta Uteja

ACHANA na kelele za wazee pale Jangwani, WAKATI mpambano wa ‘Kariakoo Derby’ ukisubiriwa Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba inakabiliwa na kibarua kigumu cha kuvunja UTEJA mbele ya Yanga, kwani haijashinda katika mechi tatu mfululizo.
.
Mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga katika Ligi Kuu ilikuwa ni ushindi wa mabao 2-0, yaliyofungwa na Henock Inonga dakika ya 2 na Kibu Denis dakika ya 32, mechi iliyopigwa, Aprili 16, 2023, hivyo kuanzia hapo haijashinda tena hadi leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *