Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Gossip News
  • Afisa Habari Wa Yanga Ally Kamwe, Afunga Ndoa Jijini Arusha
Gossip News HABARI ZA UDAKU

Afisa Habari Wa Yanga Ally Kamwe, Afunga Ndoa Jijini Arusha

August 1, 2025August 1, 2025 Udaku Special

AFISA Habari wa Yanga SC Ally kamwe, hatimaye ameaga rasmi maisha ya upweke baada ya kufunga ndoa leo jijini Arusha, katika hafla iliyohudhuriwa na ndugu, marafiki na wadau mbalimbali wa tasnia ya burudani.

Sherehe hiyo ya kipekee ilifanyika katika mazingira ya kuvutia, huku wageni waalikwa wakijawa na furaha na bashasha tele. Alikamwe alionekana mwenye furaha isiyo kifani akiwa na mwenzi wake mpya wa maisha, katika tukio lililosheheni mapenzi, shukrani na baraka tele.

Related Posts

HABARI ZA UDAKU

Cardi B Aibua Mjadala Kuhusu Kifo cha Ashlee Jenae Zanzibar “Hakujiua”

April 14, 2026 Udaku Special
HABARI ZA UDAKU

Fahamu Madhara ya Kiafya ya Uvutaji wa Shisha

April 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Mawakili wa Lissu Walaani Kitendo cha Mteja wao Kusukumwa Mahakamani
Next: Nilivyoweza kurejesha heshima ndani ya ndoa yangu

Popular Posts

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH Abdalla mpemba Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Aina 10 ya Wanawake Wanaopendwa na Wanaume

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Pata Tiba za Asili Kwa Matatizo Yanayokusumbua, Mapenzi, Nguvu za Kiume na Kisukari

  • Ukweli Kuhusu Kuwa Adolf Hitler Alikuwa na Korodani Moja

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.