Al Ahly Yailaza Zamalek 3 – 0 Dabi ya Cairo

Al Ahly Yailaza Zamalek 3 - 0 Dabi ya Cairo
Al Ahly Yailaza Zamalek 3 – 0 Dabi ya Cairo

Adhraf Bencharki amefunga magoli mawili wakati, Al Ahly ikiibamiza Zamalek kwenye mchezo wa Dabi ya Cairo kutia doa matumaini ya Zamalek kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo kwa mara ya 15 ingawa wanaendelea kusalia kileleni huku Al Ahly ikikabiliwa na hatari ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu ujao.

Zamalek inasalia kileleni licha ya kufungana kwa pointi 50 na Pyramids kwa faida ya kushinda mechi zake dhidi ya Pyramids (head to head) wakati Al Ahly ikisogea mpaka nafasi ya tatu kufuatia ushindi huo ikifikisha alama 47.

FT: Zamalek 0-3 Al Ahly
⚽ 18’ Bencharki
⚽ 32’ EI Shahat
⚽ 74’ Bencharki

MSIMAMO EPL 🇪🇬
1. Zamalek 50 Pts (+20)
2. Pyramids 50 Pts (+21)
3. Al Ahly 47Pts (+15)
4. Ceramica 43 Pts (+14)

Related Posts