Nature

Ally Kamwe: Makosa ya Marefa Kujirudia ni Kwasababu ya Wilfred Kidao, Ajiuzulu

PRESS | Ally Kamwe

“Uongozi wa Yanga umeweka Takwa la kujiuzulu kwa Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidao kwa sababu , wote tumeona namna msimu huu umemekuwa na maamuzi ya hovyo, waamuzi wamekuwa wakifanya maamuzi ya hovyo sana lakini bado waamuzi hao wamekuwa wakijirudia na hawachukuliwi hatua”

“Kamati ya Waamuzi ipo chini ya Katibu mkuu wq TFF , tunaamini haya madudu na kutokuchukuliwa hatua ni ushawishi wake hivyo na sisi hatupo tayari kucheza hiyo mechi kama Katibu mkuu hatokuwa amejiuzulu”

Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *