Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Ajali
  • Bondia Anthony Joshua Apata Ajali Mbaya Nigeria Wawili Wafariki
Ajali

Bondia Anthony Joshua Apata Ajali Mbaya Nigeria Wawili Wafariki

December 29, 2025December 29, 2025 ajirayako

Anthony Joshua, bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria, amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.

Joshua alipata majeraha madogo, lakini watu wawili waliokuwa kwenye gari hilo wamefariki. Polisi ma mamlaka za afya wamethibitisha kuwa Joshua anaendelea vizuri.

Related Posts

Ajali

Ajali Mbaya Morogoro Yaua Watatu, Wengine Watano Wajeruhiwa

April 23, 2026 Udaku Special
Ajali

Moto Mkubwa Wateketeza Maduka Ubungo Mawasiliano

April 5, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Mchezaji Khalid Aucho Aingizwa Kwenye Dili la Okello Yanga
Next: Anthony Joshua Ana Bahati! Tazama Gari Alilokuwa Amepanda Lilivyoharibika Baada ya Ajali, 2 Wafariki

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

  • Yanga Yawatambulisha Mihambo na Abdulnassir ‘Gamal’ Kutoka Mashujaa

  • Yanga SC Wachezaji Wageni Wanabaki Hawa tu Wengine Wote Wanatemwa

  • Rais wa Laliga Amtaka Rais wa FIFA Ajiuzulu

  • Balaa! Harusi ya Monalisa katoro ni zaidi ya Sendoff, Pesa zamwagwa, Magari, Pol Brand aonyesha

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.