Hawa Simba Huwaambii Kitu, Eti Wanajivunia Uzoefu Mashindano ya CAF
Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) imepangwa jana jijini Cairo Misri kwa ajili ya kuanza hatua ya Makundi msimu wa 2024/2025. Simba SC, klabu maarufu kutoka Tanzania, imepangwa katika…