Simba Akwea Kileleni, Chama Nyota Mechi ya 5 Mfululizo

Simba Akwea Kileleni, Chama Nyota Mechi ya 5 Mfululizo
Simba Akwea Kileleni, Chama Nyota Mechi ya 5 Mfululizo

Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi kwa mara ya tano mfululizo kwenye Ligi kuu bara baada ya kutoa asisti mbili na kuisaidia Simba SC kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la Mkwakwani, Tanga.

Kwa ushindi huo, Mnyama amekwea kileleni mwa msimamo wa ligi wakifikisha alama 55 baada ya mechi 24 alama moja mbele ya Mabingwa watetezi, Young Africans SC waliopo nafasi ya pili huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

FT: Coastal Union 1-2 Simba SC
⚽ 08’ Maabad
⚽ 37’ Gueye (🅰️ Chama)
⚽ 43’ Oura (🅰️ Chama)

MSIMAMO #NBCPL 🔝 2️⃣
1. Simba SC — mechi 24 — pointi 55
2. Yanga SC — mechi 23 — pointi 54

Related Posts