Huyu Hapa Mwamba Silaha Muhimu Kwa SIMBA, Mchambuzi wa Video za Wapinzani
Pichani anaitwa Mueez Kajee🇿🇦, Pale Simba huyu ni silaha muhimu sana ya Kocha Fadlu Davids, Huyu ni mtaalamu wa uchambuzi wa video za wapinzani Huyu ndio aliewachambua wapiga Penati wote…