Donald TrumpDonald Trump

Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo linalopiga marufuku raia wa Mataifa 12 yakiwemo mataifa 7 ya Afrika kuingia nchini humo kwa kile walichokisema kuwa kufanya hivyo ni kulinda usalama wa Taifa la Marekani.

Mataifa ya Afrika yaliyopigwa marufuku hiyo ni pamoja na:👇

Somalia
Sudan
Chad
Eritrea
Libya
Congo (Brazzaville)

Mataifa mengine 3 ya Afrika ambayo ni Burundi 🇧🇮
Sierra Leone 🇸🇱 Togo 🇹🇬ya Burundi, yenyewe yatawekewa sehemu fulani ya vikwazo kuingia Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *