Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika βπΏ
“Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutoshaβ¦..tukutane wiki ijayo.
Mguu wake wa kulia umebarikiwa sana
Zile Assists za pale Chamazi na numbers nzuri kwa maestro kuna Asilimia 90% za kuziona Jangwani π FEILASUFI kachagua nyumbani hii code haitaji kuficha tena β
Imagine : Feisal , Pacome & Maxi nyuma ya Sowah π³
JUST IMAGINE
