Fei Toto Ameichagua Yanga…
Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 “Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutosha…..tukutane wiki ijayo.…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 “Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutosha…..tukutane wiki ijayo.…
Baadhi ya magazeti ya michezo nchini Afrika Kusini yamechapisha taarifa zenye lengo la kumshusha thamani kiungo mahiri wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Azam FC, Feisal Salum…
Kwa mujibu wa ‘Goal South Africa’ kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Azam FC raia wa Tanzania 🇹🇿 visiwani Feisal Salum Abdallah, atawasili nchini RSA 🇿🇦 mwezi huu June kwa ajili…
Kuna bato la maana linaendelea nje ya uwanja kati ya Simba SC na Yanga SC na safari hii sio kwa wachezaji au makocha, bali matajiri wawili wa klabu hizo wakichonganishwa…
Wazawa Ligi Kuu 2024/25 ni Fei Toto na Mzize tu MSHAMBULIAJI wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma amesema kati ya wachezaji wazawa waliofanya vizuri kwa msimu huu ni Feisal Salum ‘Fei…
Feisal Salum Mchezaji Anaewaaminisha Wachezaji Wazawa Kuwa Wanaweza Mbele ya Wageni…. KIUNGO mshambuliaji wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ndiye mchezaji aliyechangia…
Feisal Salum Anarejea Yanga Kama Mbadala wa Aziz K Inaripotiwa kuwa Feisal Salum amekubali kurejea klabu ya Yanga kama mbadala wa Aziz Ki ambaye anatimkia Wydad Casablanca suala hili linakuja…