Feisal Salum Anarejea Yanga Kama Mbadala wa Aziz K
Inaripotiwa kuwa Feisal Salum amekubali kurejea klabu ya Yanga kama mbadala wa Aziz Ki ambaye anatimkia Wydad Casablanca
suala hili linakuja kutokana na makubaliano ya kimkataba waliyoingia Azam na Yanga wakati wa kumnunua mchezaji huyo ambapo Azam wanatakiwa kuwatazama Yanga kama chagua namba moja iwapo vilabu ndani ya ligi ya Tanzania zinataka kumnunua, na kama wapinzani wa Yanga watahitaji huduma ya Kiungo huyo kiasi kikubwa cha Fedha anatakiwa kufaidika Yanga na siyo Azam