Haji Manara Aanzisha Kampeni ya Karia Must Go
Maamuzi yote ya Uongozi hatuna budi Wanayanga kuyaunga mkono.
Lakini tusiwe soft tukamuacha Karia na Mguto.
Hawa ndio Chanzo cha yote yaliyoendelea.
Karia alifika mahali akatudharau na kutwambia tukacheze sinema zetu, tunamuachaje huyu kisha tunapeleka shinikizo la kuwang’oa Kidao na Kassongo peke yao?
yeye ndio master mind wa uozo wote tuliofanyiwa na TFF na bodi ya Ligi !!
Lazma Karia awajibike immediately kwa hili liliofanyika?
Yeye na Genge lake hawastahili tena kutuongozea Mpira wetu.
Kama kiongozi Mkuu wa Taasisi anapaswa kuwa wa kwanza kukaa kando na kuwajibika kwa haya madudu yao !!
Wanaharakati wa football tushamjua adui wetu wa football ya Tanzania,now ni kudeal nae effectively ili atupishe na kwenye hili tuache kuremba remba, Tuanze na yy kisha wengine wafate,Tusiwatoe mbuzi wa kafara Vidagaa peke yao.
Utaratibu ni ule ule.
Ukifukuza 😜 fukuza na Makopo yake.
Mkimuacha mjue atadeal na nyie Viongozi.
Hii ndio timing sahihi ya kung’oa kila mzizi pale Karume.
Wananchi hashtag ni hii kariamustgo