HAJI Manara "Yanga Tutashinda Jumamosi ila Tusijiamini Sana Wenzetu Wana Hasira"

 

HAJI Manara "Yanga Tutashinda Jumamosi ila Tusijiamini Sana Wenzetu Wana Hasira"

Yanga itashinda Jumamosi Insha’Allah.

β€œMuhimu tusijiamini kupita kiasi ,wenzetu wana hasira na sisi na ukitazama kwa jicho pevu ni kama wamejipanga sana kwa hiyo derby!!

β€œTunachojivunia Wananchi ni Quality za Wachezaji wetu ,lakini hilo peke yake halitupi guarantee ya kushinda kwenye aina hizi za mechi.

β€œMungu akipenda nitakuwa kule majukwaa ya Popular wanapokaa Wanachama na Washabiki, kuhanikiza ushindi kwa Wachezaji wetuπŸ™πŸ™.”

Ameandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *