Hakimi Afunguka “Hatukushinda AFCON Siwezi Kwenda Kupokea Kombe”

“Mama yangu aliniambia nikatae kombe la AFCON. Rasmi nakataa kupokea kombe hilo na ninatumaini wachezaji wenzangu pia watafanya hivyo.”

“Tulikuwa na nafasi ya kushinda lakini hatukufanikiwa. Hiyo ndiyo soka wakati mwingine unashinda na wakati mwingine unapoteza.”

Senegal 🇸🇳 waliwashinda kwa haki na walistahili ushindi huo. Itakuwa si haki kuharibu furaha yao baada ya juhudi kubwa walioweka.”

“Ninaheshimu uamuzi wa CAF lakini rasmi nakataa kombe hilo. Sikushinda AFCON 2025. Hongera tena kwa Senegal.” 🇸🇳❤️

— Achraf Hakimi akizungumza na Marca

Related Posts