Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Klabu ya Yanga Sc Imemtambulisha Mshambuliajii Célestin Ecua wa Ivory Coast
HABARI ZA MICHEZO Sports News

Klabu ya Yanga Sc Imemtambulisha Mshambuliajii Célestin Ecua wa Ivory Coast

August 2, 2025August 2, 2025 Udaku Special

Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha mshambuliajii Célestin Ecua (23) raia wa Ivory Coast kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea Zoman Fc ya Nchini kwao.

Akiwa na Zoman Fc msimu uliopita Ecua alifunga magoli 15 na kusaidia ‘assists’ mengine 12 kwenye michuano yote huku akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu (MVP)

Tetesi za Usajili Tanzania Leo

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Pacome Pamoja na Ubora Wake Atemwe Kikosi Cha Timu ya Taifa Ivory Coast AFCON

December 9, 2025December 9, 2025 ajirayako
HABARI ZA MICHEZO

Yanga na Azam Ndio Timu Pekee Zinazotesa Ligi Kuu Tanzania

December 9, 2025December 9, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Hawa Hapa SITA Walioshinda UBUNGE Viti Maalum UVCCM Bara
Next: Jesca Magufuli Achaguliwa Mbunge wa Viti Maalum Kupitia UVCCM

Popular Posts

  • Swali kwa RC Chalamila: Ulisema hatuli internet huoni majibu yenu ni sehemu ya hasira kwa wananchi?

  • META yaeleza sababu ya kuifuta akaunti ya Instagram ya Mange Kimambi

  • Msanii Shetta Ashinda Umeya wa Jiji la Dar es Salaam

  • Niffer na Mika Chavala wafikishwa Mahakama ya Kisutu, Kesi ya uhaini inayowakabili kuunguruma leo

  • Kikosi Cha Taifa Stars Kitakachoshiriki AFCON Chatangazwa

  • Pacome Kuondoka Yanga Dirisha Dogo la Usajili

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.