Kocha Mkuu wa Yanga Afunguka “Tulipashwa Kumaliza Mechi Mapema Sana”

Kocha Mkuu wa Yanga Afunguka "Tulipashwa Kumaliza Mechi Mapema Sana"
Kocha Mkuu wa Yanga Afunguka “Tulipashwa Kumaliza Mechi Mapema Sana”

Kocha Mkuu wa Yanga Afunguka “Tulipashwa Kumaliza Mechi Mapema Sana”

Kocha Mkuu wa Yanga amesema timu yake ilipaswa kumaliza mchezo dhidi ya Gaborone United mapema zaidi, akidai kuwa walikuwa na ubora mkubwa katika kutengeneza nafasi za kufunga.

Kwa mujibu wa kocha huyo, Yanga walipata nafasi nyingi za wazi lakini hawakuzitumia ipasavyo. Ameeleza kuwa kwa kiwango cha nafasi walizotengeneza, timu ilipaswa kufunga hadi magoli saba na kuufanya mchezo kuwa rahisi mapema.

Kocha huyo amekiri changamoto hiyo na kusema suala la umaliziaji litafanyiwa kazi zaidi katika uwanja wa mazoezi ili timu iweze kutumia vizuri nafasi itakazopata kwenye michezo ijayo

Related Posts