Sakata la Aziz K na Mkataba na Wydad, Kumbe Kisheria Bado Mchezaji wa Yanga
Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga✍️
Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025.
Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea nchini.
Wydad na Aziz walihitajiana sana kuelekea FIFA Club world Cup hivyo ikabidi kiwekwe kipengele cha kulipa pesa hiyo kabla ya tarehe 10 endapo watalidhika na kiwango chake.
Kisheria Aziz bado ni mchezaji wa Yanga ndiyo maana bado hajaondoa “Profile Picture” ya Yanga kwenye Instagram yake,unless Wydad wamalizane na Yanga kabla ya july 10.
ALSO READ | Mchumbuzi Nasri Khalfan; Simba Kwa Sasa Wamempata Kocha, Wasimuache
Alikataa kuolewa ili amkomboe mama yake... Lakini mama ndiye aliyemuuza!
GORYANAH –Hii ni story ya Moto Sana yenye hisia na Mafunzo, binti jasiri anayepambana na siri nzito, umaskini na hatari kubwa kwa ndoto zake! Pakua app yetu ufurahie Sehemu ya 1 Hadi ya 5,na mwendelezo wake kila JUMAMOSI SAA MOJA KAMILI JIONI BURE!
Ukiona ujumbe wa allow notification bonyeza allow ili uwe mwanafamilia.