Magoma Amvaa Maulid Kitenge "Yule Mtoto Mjinga Mjinga"

Baada ya Mwananchama mtata wa Yanga, Jumaa Magoma kuwajibu viongozi wa Yanga kuhusu sakata lake la kupeleka kesi Mahakamani.

Hivi sasa mzee huyo ambae amemgeukia Mtangazaji Nguli wa michezo nchini Maulid Kitenge.

Mtazame Mzee Magoma hapa chini;

Magoma ana BalaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pic.twitter.com/yZ2bifo6jv

— Latto 𝕏 (@Rydx_017) July 18, 2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *