Jina langu ni Brian. Kuwa na ndoto za kwenda nje ya nchi kutafuta maisha, kupata ufadhili wa masomo, au mikataba mizuri ya kazi, halafu kila unapoomba Visa unakataliwa na kurudishwa nyuma ni mateso makubwa yanayoweza kukatisha tamaa kabisa.
Kwa miaka mitatu, nilikuwa nimeomba Visa mara tano tofauti kwenye ubalozi mbalimbali ili kwenda kufanya kazi za udereva na mkataba wa ujenzi Marekani na Ulaya.
Kila mara nilipokamilisha nyaraka zote halali, kulipia ada kubwa za usajili, na kuhudhuria usaili (interview), majibu yalikuwa yale yale kukataliwa bila sababu za msingi au kupewa barua za kukosa sifa.
Nilibaki nikipoteza fedha zangu zote za akiba, nikichekwa na marafiki, na kuhisi kama nyota yangu imefungwa giza nene.
Nikiwa kwenye simanzi nzito na nikifikiria kuachana kabisa na ndoto hizo, kaka yangu wa hiari aliyewahi kusafiri kwenda ughaibuni alinitembelea. SOMA ZAIDI.
