Mchezaji Jean Baleke Aishitaki Yanga FIFA……

Mchezaji Jean Baleke Aishitaki Yanga FIFA......

MSIKIE MENEJA WA JEAN BALEKE:
β€œKuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
β€œMchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa fedha zake. Kama Baleke hayupo salama ni nani yupo salama?
β€œUnaposikia hivi sasa tumefanikiwa kumpata Mwanasheria wa Augustin (Okrah) ambaye ametusaidia kwa kiasi kikubwa na kesi sasa ipo Fifa.”

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *