Mwanamume yeyote anapooa, anatarajia kupata msaidizi na amani nyumbani kwake baada ya mahangaiko ya siku nzima ya kutafuta rizki. Hata hivyo, maisha yangu ya ndoa yalianza kugeuka kuwa jehanamu ndogo miezi michache tu baada ya harusi yetu.
Mke wangu alibadilika ghafla na kuanza kunionyesha dharau za waziwazi, kunipigia kelele mbele ya majirani na wageni, na kunilaumu kwa kila jambo hata lile lisilokuwa na msingi.
Kila niliporudi nyumbani Jioni nikiwa nimechoka, badala ya kupokelewa kwa tabasamu au maji ya kunywa, nililakiwa na maneno ya shombo na migogoro isiyo na mwisho.
Alinivua kabisa heshima yangu kama baba wa nyumba, na taratibu nilianza kuogopa hata kurudi nyumbani kwangu mwenyewe.
Nilibaki nikijifungia kwenye gari au kukaa vijiweni hadi usiku sana ili tu kukimbia kelele na karaha za mke wangu. Ndoa yetu ilikuwa ikielekea kuvunjika vibaya, na afya yangu ya akili ilikuwa shakani. SOMA ZAIDI.
