Yanga Yakimbilia Zanzibar Kujificha Wakisubiria Dabi ya Kariakoo
Klabu ya Yanga inatarajiwa kuweka kambi visiwani Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba utakaopigwa June 25. Hata hivyo Yanga pia itacheza…