Santos Yatangaza Kumrejesha Neymar Klabuni Hapo

Santos Yatangaza Kumrejesha Neymar Klabuni Hapo

Klabu ya Santos Sc ya Brazil imetangaza kumsajili nyota wake wa zamani, Neymar Jr kwa mkataba wa miezi 6 mpaka Juni 2025 baada ya Mbrazil kuvunja mkataba na iliyokuwa klabu yake Al Hilal ya Saudi Arabia.

Neymar (32) ambaye aliichezea Santos Sc mechi 225 na kufunga magoli 136 na β€˜assists’ 64 kabla ya kutimkia Ulaya baada ya miaka 12 tangu alipojiunga na FC Barcelona mnamo Julai 2013.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *