Shaffih Dauda "Historia Haina Tena Nafasi Mashindano ya CAF, Atapongezwa Anayefanya Vizuri"

Wiki mpya inaanza leo, Taifa limekusanya alama nne (4) kati ya sita (6) mwisho wa Wiki , sio mbaya sana maana mbele yetu kama Taifa kuna alama zingine (18)

Tisa (9) zipo Klabu Bingwa CAFCL

Tisa (9) zipo Shirikisho CAFCC

Kila la kheri kwenye uwanja wa vita , tunachokiona uwanjani tunaamini ndicho mlichokifanyia mazoezi na ndio tafsiri ya uwezo wa kila mmoja wenu kwa sasa.

Maoni yetu yatasimamia kwa kile tunachokiona uwanjani kwa sasa .Historia haina tena nafasi , atapongezwa anayefanya vizuri ,atasimangwa anayetia Taifa aibu the choice is yours.

Uchambuzi utasimama hapo TUKUPONGEZE au TUKUSEME na ukisemwa punguza mdomo ongeza mazoezi.

DIGALA was here

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *