Jonathan SowahJonathan Sowah

Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ametozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa jukwaani, pamoja na kitendo chake cha kung’oa kibendera cha kona kwenye mchezo dhidi ya Simba Sc.

Sowah aliyafanya makossa hayo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye uwanja wa KMC Complex kati ya timu yake dhidi ya Simba uliomalizika kwa Simba Sc kuibuka na ushindi wa 1-0.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *