Abigail Chams, Akosa Tuzo ya BET, Huyu Hapa Mshindi
Msanii chipukizi wa Tanzania, Abigail Chams, ameikosa tuzo ya BET kwenye kipengele cha Msanii Mpya wa Kimataifa, baada ya kutangazwa kuwa Ajuliacosta kutoka Brazil ndiye mshindi wa mwaka huu. Abigail,…