Kamdomo Kamemponza Kocha wa SIMBA Atozwa Faini Milioni 2
Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ametozwa faini ya Tsh. Milioni mbili kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuwa ina ajenda tofauti kuhusiana na ratiba ya…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ametozwa faini ya Tsh. Milioni mbili kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuwa ina ajenda tofauti kuhusiana na ratiba ya…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji, amezima jaribio la Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Fadlu Davids, kuchukuliwa na klabu yake ya zamani, Raja Casablaca ya Morocco,…
Kocha wa Simba Sc, Fadlu Davids amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/25 akiwashinda Miloud Hamdi wa Yanga na Rachid…