Kocha Nabi: Singida Black Stars ni Moja ya Timu Hatari Zijazo
KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars. “Nilisema kuwa Singida itakuwa timu tishio na taratibu naona…