Siyo Sawa Ibraah Kuondoka Bure Label ya Konde Gang, Lebal Sio THT
Siyo Sawa Ibraah Kuondoka Bure Label ya Konde Gang, Lebal Sio THT Kuna watu wataona kama nina roho mbaya lakini ukweli lazima usemwe, suala la Harmonize kushauriwa amuache Ibraah aondoke…