Mwimbaji Mavokali Atapeliwa na Kampuni ya Uingereza, Aingia Katika Msongo wa Mawazo
Meneja wa mwanamuziki @mavokali_ , Jembe One ameweka wazi hali ya kiafya ya msanii wake kwa kusema alipatwa na tatizo la afya ya akili ingawa kwa sasa anaendelea vizuri. Jembe…