Mwimbaji Msaga Sumu Apata Ajali Mbaya ya Gari
Msanii maarufu wa singeli Nchini, Msaga Sumu ameripotiwa kupata ajali jana Mei 16,2025 wakati akirejea Dar es salaam akitokea Wilayani Namtumbo kutumbuiza kwenye mkesha wa mwenge na kuumia sehemu mbalimbali…