Shekhe Walid Akiri Kuwafungisha Ndoa Diamond Platnumz na Zuchu
Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Kawambwa amesema kwamba alifungisha ndoa Diamond Platnumz na Zuchu miezi michache iliyopita. Akizungumza na Mwanaspoti, Shekhe Walid amesema aliwafungisha ndoa hiyo wanamuziki…