Timu ya Taifa ya South Africa Yatupwa nje Kombe la Dunia 2026, Canada Yatinga 16 Bora

Timu ya Taifa ya South Africa Yatupwa nje Kombe la Dunia 2026, Canada Yatinga 16 Bora
Timu ya Taifa ya South Africa Yatupwa nje Kombe la Dunia 2026, Canada Yatinga 16 Bora

Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imesukumizwa nje ya michuano ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya wenyeji wenza wa michuano hiyo, Canada katika dimba la Los Angeles, California Marekani.

Canada imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 ya michuano hiyo na imetangulia kwenye hatua hiyo kumsubiri mshindi wa mchezo mwingine wa 32 bora kati ya Uholanzi dhidi ya Morocco.

FT: South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ 0-1 πŸ‡¨πŸ‡¦ Canada
⚽ 90+2’ Eustaquio

Related Posts