Wagombea 48 Wajitokeza Kuwania Uongozi Simba SC, Murtaza Mangungu Yumo!

Wagombea 48 Wajitokeza Kuwania Uongozi Simba SC
Wagombea 48 Wajitokeza Kuwania Uongozi Simba SC

Wagombea 48 Wajitokeza Kuwania Uongozi Simba SC, Murtaza Mangungu Yumo!

Dar es Salaam – Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi orodha ya majina ya wanachama 48 waliochukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Simba SC.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na TFF, wagombea saba (7) wamejitokeza kuwania kiti cha juu cha Mwenyekiti wa klabu, huku wengine 41 wakijitokeza kuomba ridhaa ya kuwania nafasi za Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 30, 2027, jijini Dar es Salaam.

Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti (7)

Katika kinyang’anyiro cha uenyekiti, Mwenyekiti wa sasa, Murtaza Ally Mangungu, ni miongoni mwa waliorejesha fomu kutetea kiti chake akichuana na sura nyingine maarufu klabuni hapo. Orodha kamili ni:
  1. Anindumi Jonas Semu

  2. Geoffrey Irick Nyange

  3. Mohamed Khamis Soloka

  4. Murtaza Ally Mangungu

  5. Dkt. Seif Ramadhani Muba

  6. Selemani Haroub Said

  7. Swedy Khamis Mkwabi

Wagombea wa Nafasi za Wajumbe wa Bodi (41)

Kwa upande wa nafasi za Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, wanachama 41 waliochukua na kurejesha fomu ni pamoja na:
  1. Aaron Henry Mrina

  2. Abdallah Rashid Mgomba

  3. Alfred Martin Elia

  4. Andrew Julius Tupa

  5. Arnold Nzuamtemi Nzali

  6. Aziz Hussein Kaku

  7. Christopher Kabalika Mwansasu

  8. Damian Samwel Manembe

  9. Eli Achahofu Paulo

  10. Enock Bwigane Mwasubila

  11. Fadhili Mohamed Famonga

  12. Farid Awadh Tamim

  13. Francis Kumba Ndulane

  14. Hamisi Omari Tika

  15. Hassan Bakari Kakayoo

  16. Hussein Ally Simba

  17. Isabella Samwel Faya

  18. Issa Masoud

  19. Jamhuri Mussa Khwello

  20. Jonathan Wilisaa Nkya

  21. Juma Abbas Pinto

  22. Laurian Salvatory Mganga

  23. Mariam Abdallah Ibrahim

  24. Mariam Mussa Shemzigwa

  25. Muhamadi Mohamedi Hamisi

  26. Omari Juma Mazola

  27. Pendo Aidan Mapugio

  28. Rachel Juma Chagonja

  29. Raphael Masunga Chegeni

  30. Richard Shukia

  31. Rodney Makamba Chiduo

  32. Said Hassan Tully

  33. Saidi Abdallah Njechele

  34. Saleh Mohamed Afif

  35. Salum Issaka Hamidu

  36. Salum Kassim Maftah

  37. Shukuru Athumani Mtego

  38. Dkt. Suleiman Serera

  39. Ussi Salum Pondeza

  40. Wilfred Elias Nyamwija

  41. Yusuph Omary Yenga

Baada ya hatua hii ya urejeshaji wa fomu kukamilika, Kamati ya Uchaguzi ya TFF inatarajiwa kuendelea na hatua zinazofuata za mchujo wa awali, usaili, na pingamizi kabla ya kupitisha majina ya mwisho yatakayoingia kwenye kinyang’anyiro hicho cha Januari 30, 2027.

Related Posts