Wasimamizi wa FEI Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba….Azam Watoa Offer Nzito

Wasimamizi wa FEI Toto Wanapitia Offer za Yanga na Simba....Azam Watoa Offer Nzito

So far Fei Toto bado hajasaini mkataba na Simba wala Yanga✍️

Wiki iliyopita Yanga walifanya kikao na famili ya Fei ili kumaliza tofauti zao.

Mpaka sasa Fei ana ofa zote mbili kutoka Simba na Yanga Ila bado hajasaini popote✍️

Wasimamizi wa Fei wanapitia ofa zote mbili ili kufanya maamuzi sahihi mwishoni mwa msimu.

Azam nao wametia ofa nzito ili kumbakisha kijana ingawa ni ngumu sana Fei kubaki Azam.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *