Uongozi wa Yanga Sc wameweka bayana mambo makuu manne ambayp wameyawasilisha kwa Bodi ya Ligi ili yafanyiwe kazi ndio wacheze Kariakoo Derby.
- CEO Bodi ya Ligi ajiuzulu
- Katibu Mkuu TFF Ajiuzulu
- Kamata ya Saa 72 ivunjwe
- Bodi ya Ligi ibadilishwe muundo na iwe Huru sio chini ya TFF
NB: WANANCHI WAMEINGIA NA NYUKLIA VITA YA MAPANGA ππΎπ HUU SASA NDIO UBAYA UBWELA