
Klabu ya Yanga imerudi na OF ya pili kumtaka Fadlu Davids mara Baada ya OFA ya Awali kupigwa chini .
Pamoja na majina mengi yanayotajwa lakini Report zinaeleza Uongozi wa Yanga unamtazama Fadlu Davids kama chaguo lao la kwanza. Wanaimani zaidi na Fadlu Davids kutoka na uzoefu wake katika Ligi kuu ya NBC na michuano ya kimataifa hasa msimu uliopita.
Mara hii Yanga ipo makini sana kwenye uchaguzi wa kocha lengo nikuleta kocha ambaye atohitaji muda kujuwa nini timu inataka.Endapo mazungumzo yataenda vizuri uwenda tukamshuhudia Fadlu Davids ligi kuu Tanzania bara msimu ujao.
