
Wanalambalamba, Azam FC wamesukumizwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCL) kufuatia kipigo cha 2-0 ugenini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B.
Kwenye mchezo mwingine wa kundi hilo, Nairobi United imekamilisha ratiba kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Maniema ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
FT: Wydad AC π²π¦ 2-0 πΉπΏ Azam FC
β½ 64β Msindo (og)
β½ 90+4β Nassi
FT: Maniema π¨π© 3-0 π°πͺ Nairobi United
β½ 05β Namboka
β½ 29β Namboka
β½ 44β Mboma Kinda
π₯ 57β Machaga
