Yanga Waichapa Coastal Union, Allan Okello Aibuka Shujaa, Alamba tuzo

Yanga Waichapa Coastal Union, Allan Okello Aibuka Shujaa, Alamba tuzo
Yanga Waichapa Coastal Union, Allan Okello Aibuka Shujaa, Alamba tuzo

Shughuli imemalizika katika dimba la KMC Complex Wananchi wakisogea mpaka alama 8 mbele ya mtani wao, Simba SC.

Yanga SC wanasalia kileleni wakifikisha alama 54 baada ya mechi 22 wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya Mnyama.

Allan Okello ndiye nyota wa mchezo huo akifunga mabao mawili na kutoa asisti moja ikiwa ni mchango wa magoli 12 tangu atue jangwani mwezi Januari.

FT: Yanga SC 3-0 Coastal Union
⚽ 18’ Okello
⚽ 62’ Okello
⚽ Maxi (πŸ…°οΈ Okello)

Related Posts