
Faisal Salum ‘Feitoto’ amefunga magoli mawili na kuisaidia Azam FC kuibuka na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya KMC FC katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Feitoto ambaye ndiye kinara magoli kwenye Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara akifikisha jumla ya magoli 14 mpaka sasa kwenye Ligi hiyo huku akiwa ametoa pasi za mwisho za mabao.
FT: Azam FC 3-0 KMC FC
⚽ 03’ Feitoto
⚽ 17’ Feitoto
⚽ 35’ Yoro Diaby
