Ureno Yaporomoka Kwenye Viwango vya Ubora Kombe la Dunia

Ureno Yaporomoka Kwenye Viwango vya Ubora Kombe la Dunia
Ureno Yaporomoka Kwenye Viwango vya Ubora Kombe la Dunia

Baada ya kukamilika kwa mechi za kwanza za Kombe la Dunia, kumekuwa na mabadiliko katika viwango vya timu bora. Uren ndiyo timu iliyoathirika zaidi baada ya kushuka nafasi mbili, kutoka nafasi ya tano hadi nafasi ya saba.

🔝Top 10 mpya za viwango vya FIFA World Cup ni kama ifuatavyo:

1️⃣ Argentina
2️⃣ Ufaransa
3️⃣ Hispania
4️⃣ England
5️⃣ Brazil
6️⃣ Morocco
7️⃣ Ureno
8️⃣ Uholanzi
9️⃣ Ujerumani
🔟 Ubelgiji

Ureno imepoteza nafasi mbili baada ya matokeo ya Matchday ya kwanza, huku Morocco ikipanda hadi nafasi ya sita kwenye orodha hiyo.

Related Posts