
Timu ya Taifa ya Ufaransa imeibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Norway katika dimba la Boston, Massachusetts Marekani huku Simba wa Teranga, Senegal wakichomoza na ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Iraq kwenye michezo wa Kundi I wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Ushindi wa Senegal umefufua matumaini yake ya kufuzu hatua ya 32 bora kupitia nafasi ya timu 8 zilizomaliza nafasi ya tatu ‘best loser’ kwani kwa sasa ipo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ‘best loser’
FT: Norway 🇳🇴 1-4 🇫🇷 France
⚽ 07′ Dembele (🅰️ Mbappe)
⚽ 20′ Dembele (🅰️ Mbappe)
⚽ 32′ Dembele 🅰️ Tchouameni)
⚽ 90+4′ Doué (🅰️ Barcola)
⚽ 21′ Thelo Aasgaard
FT: Senegal 🇸🇳 5-0 🇮🇶 Iraq
⚽ 04′ Diarra
⚽ 56′ Sarr
⚽ 59′ Gueye
⚽ 71′ Gueye
⚽ 82′ Ndiaye
🟥 14′ Sulaka
MSIMAMO KUNDI I
1. 🇫🇷 France — pointi 9 (+8)
2. 🇳🇴 Norway — pointi 6 (+1)
3. 🇸🇳 Senegal — pointi 3 (+2)
3. 🇮🇶 Iraq — pointi 0 (-11)
