
Waafrika , Cape Verde wametinga hatua ya 32 bora ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia sare tasa dhidi ya Saudi Arabia huku Uruguay ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Uhispania kwenye michezo ya Kundi H ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
FT: Uruguay 🇺🇾 0-1 🇪🇸 Spain
⚽ 42’ Baena
FT: Cape Verde 0-0 Saudi Arabia
MSIMAMO KUNDI
1. 🇪🇸 Spain — pointi 7
2. 🇨🇻 Cape Verde — pointi 3
3. 🇺🇾 Uruguay — pointi 2
4. 🇸🇦 Saudi Arabia — pointi 2
