Simba Akata Ukame wa Misimu Minne Bila Kombe la FA

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamekata ukame wa misimu minne bila Kombe la FA Tanzania baada kuilaza Azam FC kwenye fainali na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya nne tangu liliporejea tena msimu wa 2015/16.

Mchezo huo wa fainali uliopigwa katika dimba la Gombani, Pemba umemalizika kwa Mnyama kuchomoza na ushindi wa 1-0 na kutwaa ubingwa wa CRDB BANK Federation Cup2025/26 ambapo mara ya mwisho kuchukua ulikuwa msimu wa 2020/21.

Simba SC 1-0 Azam FC
โšฝ 62โ€™ Yahya Zayd (OG)

Related Posts